Uvunaji wa Maji

Community Forests Pemba imefunga mifumo miwili mikubwa ya uvunaji wa maji kwenye visiwa vidogo viwili karibu na Pemba. Mifumo hii inayo hodhi kubwa, filta za UV na micron kusafisha maji haya kabla ya kutumia. Sasa jamii zetu wanatumia muda wao kwa maendeleo badala ya kupoteza muda kuchota maji.