Nishati Uedelevu

Community Forests Pemba inafanya kazi kuanza mapinduzi ya umeme wa uendelevu. Kila nyumba kwenye jamii inapata betri ya pikipiki pamoja na taa ya LED. Chaji ya betri inabaki kwa wiki, na mwisho ya wiki wanapeleka betri kuchajiwa kwenye eneo la kuchaji. Wanalipa pesa kidogo kwenye mfuko wa jamii na wanachaji batri ndani ya masaa manne.