Mkaa Mbadala

Viwanda vingi vya mbao vinachoma unga wa mbao wao. Sasa, jamii wanatumia ungu huu kutengeneza mkaa mbadala. Ungu wa mbao unchanganishwa na maji na karatasi au maji na majani ya muhogo. Karatasi au majani ya muhogo yanafanya kazi kama gundi. Baada ya kuchanganisha, unaigandamiza kwenye mashine.  Mkaa huu unahitaji kukauka kwa siku mojo kabla ya kutumia.