Majiko Sanifu

Pamoja na mkaa mbadala, tumewafundisha wanawake zaidi ya 500 kutengeneza majiko sanifu. Majiko haya yanapunguza ukataji kwenye misitu, yanafupisha muda wa kupika, and wamewawezesha wanawake kuanzisha biashara kuuza majiko haya.