Kukabiliana

Mabadiliko ya tabianchi yanatokea, na asilimia kubwa wa wanasayansi wanakubali kwamba inasabibishwa na vitendo vya binadamu.  Community Forests Pemba inasaidia jamii kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kushahijisha jamii katika uhifadhi wa mazingira kuwa na matokeo ya maendeleo ya kiuchumi.