Maoni

Pamoja tunaibadilisha dunia.  Kutokan katika changamoto zetu tunatengeneza nafasi.
Jamii zetu wamebadilisha jinsi ya kuishi na kufanya kazi. Sote ni viongozi.  Sote tunajenga vitu vipya.
Tunafanya kazi kwa maelewano na mazingira yetu ya dunia. Siyo dhamana yetu tu. Ni uwezo wetu.

Malengo

Kukuza uhifadhi ya mazingira kwenye wilaya nne za Pemba,
Zanzibar kutokana na kuanzisha misitu ya jamii,
kukuza mbinu ya uendelevu wa misitu na kutoa elimu ya mazingira.