• Kilimo Mbadala
  Bustani ndogo ya mbinu bora inasaidia kupata matunda na mbogamboga zinazohitajika kwa afya bora. Hii ni hatua ya kwanza ambao jamii zetu wanatembea kufika kwenye mifumo ya "permaculture" -- kilimo kudumu.
 • Kilimo Mseto
  Miti na mazao yanaweza kusharikiana kuboresha udongo na kuzidisha pesa kwa wale wanaokuwa na haja kubwa.
 • Kukabiliana
  Wakai dunia inabadilika, tunasaidia jamii zetu kukabiliana na hayo.
 • Majiko Sanifu
  Kupunguza ukataji kwenye misitu na kufupisha muda wa kupikia.
 • Misitu ya Jamii
  Jamii zetu wamewahi kupanda miti zaidi ya 1,000,000.
 • Mkaa Mbadala
  Tunabadilisha unga wa mbao ambayo inachomwa kwa kawaida na kuwa mali ya biashara.
 • Nishati Uedelevu
  Siku hizi, kila mmoja ana haki ya kupata umeme.
 • Rural Innovation Campus
  Hii ni elimu ya mlalo bora. Tunatoa eneo hili kwa jamii zetu kubadilishana mawazo na kujenga ufumbuzi.
 • Ufugaji wa Nyuki
  Jamii zetu wanavuna kutoka misitu waliopanda. Wanaboresha mazingira yao.
 • Ujenzi Mbadala
  Compressed Stablized Interlocking Earth Blocks ni matofali ambayo yanajenga majengo yenye nguvu na kwa bei nafuu.
 • Uvunaji wa Maji
  Jamii zetu walikuwa wanatumia siku mzima kuchota maji kutoka sehemu za mbali. Lakini, baada ya kupata mifumo ya kuvuna maji, wana muda ya kufanya shughuli nyingine.