Upelekaji wa Mizinga na Vifaa vya Ufugaji wa Nyuki

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 579 of /home/forevcgn/public_html/includes/menu.inc).
Fri, 03/06/2015 - 13:40 -- mike
Location: 
Rural Innovation Campus
TZ
Beekeeping

Katika kuhakikisha kuwa jamii ya Pemba inafaidika na ufugaji wa nyuki, Asasi isiyo ya kiserikali ya Community Forests Pemba kwa ufadhili wa Ubalozi wa Finland Tanzania, wamefanikiwa kutengeneza/ kuchonga mizinga hamsini (50) na kuisambaza/ kuigawa kwa vikundi kumi ndani ya vijiji 10. Ugawaji huu wa mizinga umekwenda sanjari na ugawaji wa mavazi ya kujikinga na nyuki pamoja na kivutio ili kuhakikisha kuwa mizinga yote inapata makundi na hatimaye iweze kukaguliwa mara kwa mara.

Haya yote yamefanyika baada ya Community Forests Pemba kuendesha/ kufanya mafunzo kwa wakulima 28 kutoka katika maeneo (vijiji 13) ambamo mradi unatekelezwa. Mafunzo haya yalikua na lengo la kuhakikisha kuwa jamii inaachana na ufagaji wa asili amabao unaowaua nyuki wengi na kuharibu mazingira.

Kukabiliana: