Matayarisho ya Kilimo Mseto

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 579 of /home/forevcgn/public_html/includes/menu.inc).
Fri, 03/06/2015 - 13:23 -- mike
Location: 
Pujini
TZ

Kazi za matayarisho ya kilimo mseto kwaajili ya msimu wa mwaka 2015 kwa jamii ambazo zinatekeleza mradi wa Ubalozi wa Finland Tanzania kupitia Jumuiya ya Misitu ya jamii Pemba (CFP).

Miongoni mwa kazi ambazo zinaendelea ni utayarishaji wa mashamba, ukusanyaji wa pembejeo hususani mbolea za Samadi kwa nguvu za jamii yenyewe pale ambapo mazingira yanaruhusu, pia upimaji wa mashamba unaendelea (tayari hekta 27.5 zimeshapimwa hadi kufikia tarehe 6/3/2015) na ugawaji wa mbegu bora za mazao, jumla ya kilogram 150 za mbegu ya mahindi zimegawanywa kwa jamii na juhudi ya kuendelea kutafuta aina tofauti za mbegu inaendelea. Miongoni mwa jamii zinazotekeleza mradi huu ni Maziwa Ng’ombe, Wingwi Mapofu,  Gando, Masota, Kambini, Kiuyu Minungwini, Kiungoni, Fundo, Pujini na Kokota.

Kukabiliana: